RAIS SALVA KIIR AAHIDI KUTIA SAINI MAKUBALIANO YA AMANI

Idara ya serikali ya Marekani imesema rais wa Sudani Kusini ameahidi kutia saini makubaliano ya amani, ambayo awali alisita kuyasaini.

Rais Salva Kiir amemuambia Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani John Kerry, kuwa ameamua kutia saini makubaliano ya amani baada ya siku kadhaa za mashauriano.

Kukataa kwake kutia saini makubaliano hayo siku ya jumatatu ya kumaliza machafuko ya miezi 18, kulielezwa na msuluhishi mkuu wa mgogoro huo kama mchezo wa kiakili.
P yhaa tv come soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 

face book ipyana stephen



  Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment