Mume
wa mwanamuziki nyota Celine Dion, René Angélil amesema anataka
afariki dunia akiwa kwenye mikono ya mkewe.
René
mwenye umri wa miaka 73, anasumbuliwa na saratani ya kwenye koo, na
anachotamani sasa kabla ya kukataa roho ni kuwa mikononi mwa mkewe
Celine Dion.
Celine
amenukuliwa akisema kuwa René alimuomba kuwa anataka afariki dunia
akiwa mikoni mwake na yeye amekubali ombi hilo la mumewe mpenzi.
Wanandoa
hao walioana kwa furaha mwaka 1994, na wanawatoto watatu ambao ni
Nelson Angelil, Eddy Angelil, and René-Charles Angelil.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment