MONACO NA CELTIC NJE KLABU BINGWA ULAYA, MAN UNITED KURUSHA KETE LEO...


Usiku wa kuamkia leo timu kadhaa za soka barani Ulaya zilishuka dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu kuingia katika hatua ya makundi kwenye mashindano ya klabu bingwa barani humo.
Monaco ya Ufaransa, walikuwa nyumbani kucheza dhidi ya Valencia. Hadi mwisho wa mchezo huo Monaco imeibuka kidedea kwa jumla ya bao 2-1.
Hata hivyo Valencia imefuzu hatua ya makundi kwa jumla ya bao 4-3, baada kushinda bao 3-1 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza. Nayo Malmo FF ikaiadhibu Celtic kwa jumla ya bao 2-0, na kusonga mbele kwa jumla ya bao 4-3.
Wayne Rooney laughs during training as Manchester prepare to take on Club Bruges on Wednesday nightMechi hizo zitaendelea leo hii kwa timu kadhaa kushuka dimbani.
 Manchester utd itakua ugenini kucheza dhidi Club Brugge, huku Bayer Liverkusen itamenyana na Lazio. CSKA Moscow itakipiga dhidi ya Sporting Lisbon.
RATIBA YA LEO
21:45
APOEL Nicosia
FC Astana
21:45
Bayer Leverkusen
Lazio
21:45
CSKA Moscow
Sporting CP
21:45
Club Brugge
Manchester United
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment