Wanariadha wawili wa Kenya
wamebainika kwamba walitumia dawa za kusisimua misuli katika mashindano
yanayoendelea ya IAAF mjini Beijing.
Wawili hao Koki Manunga na Joyce Zakary wamepewa marufuku ya mda baada ya kutumia dawa hizo kulingana na IAAF.Wanariadha hao wa mita 400 walilengwa kabla ya kushiriki katika mbio hizo katika hoteli yao mnamo tarehe 20 na 21 Agosti kulingana na taarifa hiyo ya IAAF.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment