Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal anayeichezea klabu ya West Ham United ya Uingereza Diafra Sakho anashikiliwa na polisi Uingereza baada ya kumtishia mpenzi wake kumuua. Diafra Sakho alikamatwa akiwa nyumbani kwake Hornchurch.
Polisi bado hawajaweka wazi chanzo cha tatizo hilo. Sakho ambaye amejiunga na West Ham United ya Uingereza mwezi August mwaka jana akitokea katika klabu Metz ya Ufaransa na ameichezea West Ham United jumla ya mechi 26 na kufunga magoli 12.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment