ISIL walipua jengo la urithi wa dunia nchini SYRIA

ISIL walipua jengo la urithi wa dunia nchini SYRIA
Kikundi cha kigaidi cha ISIL kimelipua moja ya majengo ya urithi wa dunia linalojulikana kama hekalu la BAAL SHAMIN,kwenye mji wa kihistoria wa PALMRYA NCHINI SYRIA
Mji wa kihistoria wa PALMRYA NCHINI SYRIA
Kikundi  cha kigaidi cha ISIL kimelipua moja ya majengo ya urithi wa dunia linalojulikana kama hekalu la BAAL SHAMIN,kwenye mji wa kihistoria wa  PALMRYA NCHINI SYRIA.
Kwa mujibu wa mhifadhi wa mambo ya kale wa SYRIA,MAAMOUN ABDULKARIM,amesema kuwa hekalu hilo lililokuwa na zaid ya miaka elfu mbili,limelipuliwa wanamgambo hao, baada ya kuweka milipuko mingi katika hekalu hilo.
Ulipuaji wa majengo ya kihistoria unaofanywa na kundi hilo  umeedelea nchini SYRIA ,ambapo JULAI  mwaka huu kundi hilo,ililipua tena sanamu maarufu ya SIMBA WA ATHENA,na kugeuza makumbusho hiyo kuwa mahakama na gereza.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 






Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment