Maonyesho ya 22 ya vitabu ya Beijing yaanza






Maonyesho ya 22 ya kimataifa ya vitabu ya Beijing yamefunguliwa leo katika jumba jipya la kituo cha maonyesho cha kimataifa cha China, na kuhudhuriwa na wafanyabiashara 2,270 kutoka nchi na sehemu 82 duniani.
Katika siku 5 zijazo mashirika mashuhuri ya uchapishaji kutoka nchi zilizo kwenye "Ukanda Mmoja na Njia Moja" yataonyesha vitabu, picha za kuchorwa na vitu vya sanaa vya nchi walizotoka. Aidha baadhi ya washiriki kutoka nje ya China watawasiliana na wenzao wa China kuhusu ushirikiano kati yao, na kusaini makubaliano ya ushirikiano.
Maonyesho ya Beijing ni moja kati ya maonyesho makubwa manne ya vitabu duniani.
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment