Mamia ya watu wanahofiwa kufa baada
ya boti mbili zilizobeba wahamiaji 500 kuzama katika pwani ya mji wa
Zuwara nchini Libya.
Wakazi na maafisa wa mji huo
wamesema boti ya kwanza ilitoa ishara ya kuomba msaada jana kabla ya
kuzama ikiwa na watu wapatao 100, ambapo boti ya pili ilizama baadae
ikiwa na watu 400.
Waokoaji wameshafanikiwa kuopoa
miili 82 kutoka kwenye maji na kukoa wengine 198, kwa mujibu wa
maafisa wa chama cha mwezi mwekundu.

P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos


0 comments:
Post a Comment