Kama shabiki wa Davido na mfuatiliaji mzuri wa habari zake muziki wa Afrika kupitia sammisago.com. nimekuwekea mambo kuni yakufahamu kuhusu album ya ‘Baddest’ ya Davido.
1] Itatoka chini ya lebel ya Davido HKN Gang.
2] Inanyimbo 20
3] Nusu ya album imetayarishwa na producer wake ‘Shizzi’.
4] Album imehairishwa kutoka mara mbili June 8, 2015 na August 10, 2015.
5] Album ya ‘Baddest’ itatoka September 2015 ila hakuna tarehe mpaka leo.
6] Album ina hits zote za Davido kama ‘Owo ni koko’, ‘The Sound’,na ‘Fans mi’ ft Meek Mill.
7] Album haina msanii wa kike aliyeshirikishwa.
8] Album ikitoka tu Davido ataanza ziara ya Uingereza na mjini London.
9] ‘Baddest’ ndio album yake ya kwanza baada ya kumaliza chuo June 7 2015, alihitimu kwenye chuo cha Babcock ‘Department of Music’.
10] Davido atatoa album mwezi mmoja na Wizkid, September 2015.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment