Haya mambo kumi kuhusu album mpya ya Wiz Kid ambayo mpaka sasa haina jina.
1] Album haina jina mpaka sasa na inatoka September 20152] Hii ni album ya tatu ya Wizkid na mastaa wa Marekani kama Darke,Chris Brown na Skepta.
3] Mshindi wa tuzo ya Grammy mara mbili Angelique Kidjo yupo kwenye album.
4] Wimbo mmoja tu kwenye album ambao umetoka ni ‘Expensive shit’.
5] Itakuwa ni album ya kwanza ya Wizkid baada ya kutoka kwenye lebel ya Banky W ‘Led Empire Mates Entertainment’.
6] Album yake ya kwanza kupitia lebel yake mwenye Starboy Entertainment.
7] Album hii itakuwa na remix ya ‘Ojuelegba’ Ft Drake na Skepta.
8] Mpenzi wa Wiz Kid na mtu anayempe ushirikiano mkubwa kwenye muziki wake Tania Omotayo atakuwa video Queen kwenye video ya wimbo mpya ‘Sade’.
9] Maproducer wa album hii waliotajwa mpaka sasa ni Sarz, Legendury Beatz, na Maleek Berry.
10] Wizkid anatoa album yake mwezi mmoja na Davido.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment