Mgombea mwenza kwa tiketi ya
CCM, Mama Samia Suluhu, akihutubia mkutano wa hadhara leo katika eneo la
Namanga, Longido mkoani Arusha leo. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
Mbunge wa Afrika Mashariki, Agela
Kizigha, akizungumza na kina mama wa eneo la Madukani, Longido mkoani
Arusha leo. wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea wenza wa urais kwa
tiketi ya CCM Mama Samia Suluhu Hassan.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa
tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, akihutubia mkutano wa hadhara
leo katika jimbo la Monduli, mkoani Arusha leo.
Mgombea Ubunge wa Monduli kwa
tiketi ya CCM, Namelock Sokoine, akihutubia katika mkutano wa kampeni wa
mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika
leo.
Kina mama wa kimasai wakionyesha
furaha yake, baada ya Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Mama Samia
Suluhu Hassan kuwasili kwenye mkutano wa hadhara katika jimbo la Monduli
leo.
Vijana wakifurahi kwneye mkutano wa kampeni katika jimbo la Monduli.
Mbunge anayemaliza mda wake,
katika jimbo la Longido, Lekule Laizer, akimnadi mgombea ubunge wa jimbo
hilo, Dk. Steven Lemomo katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la
Madukani, Longido mkoani Arusha leo.
Kijana akishangilia wakati
mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan
alipowasili eneo la Madukani, Longido mkoani Arusha leo kuhutubia
mkutano wa kampeni.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment