Sehemu
ya Wafuachi wa CHADEMA na Vyama vinge vinavyounda UKAWA wakiupokea
msafara wa Mgombe Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania
katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, ulipokuwa ukiwasili Mafinga Mjini,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akiwapumbia maelfu ya wananchi wa Mji wa Mafinga, Wilayani Mufindi
Mkoani Iringa, waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Wambi,
Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akisalimiana na Waziri wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti
30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa Kampeni zake.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akisalimiana na Waziri wa zamani wa
Elimu, Mh. Joseph Mungai, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Wambi,
Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015, kuliofanyika Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa.
Sehemu
ya Umati wa wananchi wa Mji wa Mafinga Wilayani Mufindi, wakionyesha
fuaha yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, katika Mkutano wa Kampeni za Chama hicho, Agosti 30,
2015.
Waziri
wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mh. Lawrence Masha akihutubia
kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa
Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa Agosti 30, 2015.
Waziri
wa zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai akihutubia kwenye Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini,
Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.
Waziri
Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia kwenye Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika
mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Wambi, Mafinga Mjini,
Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.
Waziri
Mkuu wa Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akimuonyesha jambo, Waziri wa
zamani wa Elimu, Mh. Joseph Mungai wakati wa Mkutano wa Kampeni za
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward
Lowassa.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mafinga Mjini, William Joseph
Mungai, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Wambi, Mafinga Mjini, Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akiwanadi kwa wananchi, Wagombea Udiwani katika Kata mbalimbali za Mji
wa Mafinga.
Mh. Sumaye akiwaaga wananchi wa Mafinga Mjini.
Bi. Mkubwa huyu nae alikuwepo Mkutanoni hapo.
Umati
wa Wakazi wa Mji wa Iringa Mjini ukiwa umefurika kwa wingi kwenye
Uwanja wa Sabasaba, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Agosti 30,
2015.
Mbunge
wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa akihutubia wakati wa
Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania
katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, Agosti 30, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa,
akiwahutubia maelfu ya wananchi wa Iringa Mjini waliofurika kwenye
Uwanja wa Sabasaba, Agosti 30, 2015. Katika Hotuba yake Mh. Lowassa
alizungumzia namna atakavyotoa kipaumbele kwa wakulima ambapo amesema
atafuta ushuru wa mazao kwa wakulima na kufuta kodi kwa vifaa vya
michezo na burudani ili vijana waweze kunufaika na vipaji vyao.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa
wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Sabasaba,
Mkoani Iringa leo Agosti 30, 2015.
Umati
wa Wakazi wa Mji wa Iringa Mjini ukiwa umefurika kwa wingi kwenye
Uwanja wa Sabasaba, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama
cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, leo Agosti
30, 2015.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA
kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa
akimsalimia kijana mwenye ulemavu (jina lake hakupatikana kwa haraka)
aliyehudhulia Mkutano wa Kampeni ya Mgombea huyo, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Sabasaba, Iringa Mjini, leo Agosti 30, 2015. Kushoto ni Waziri
Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye.
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment