Korea wamekuja na hii miavuli inayokuruhusu kutuma meseji kwenye mvua mtu wangu! + (Video).




umbr1
Kwa mfano
ulishawahi kujiuliza ingekuaje kama kungekuwa na mwavuli unaokuruhusu
kutuma na kupokea message wakati unatembea kwenye mvua!?
umbr2
 ni kitu kidogo lakini kinawezekana! Wakorea wamekuja na ubunifu mpya wa  miavuli wenyewe unaitwa Phone Umbrella maarufu kama ‘Phone-brella’ ambao unakuwezesha kwa urahisi kufanya vitu viwili kwa wakati mmoja, kutuma message kwenye mvua na kujikinga na mvua ukiwa unatembea.
phone brella6
Hiki ndio kishikio cha mkono wa mwavuli huu wa Phone-brella.


Phone-brella una
kishikio kinacho valiwa mkononi kuupa mwavuli huo balance nzuri bila
kuuchosha wala kuumiza mkono wako huku unatuma au kupokea message zako
kwenye mvua bila kukupa shida yoyote ile yani.


Ubunifu huu umenifurahisha kwani ni kitu
kidogo kilicho buniwa kwa akili ya utundu sana!, na hizi ni baadhi ya
picha nilizoweza kuzinasa…
phone brella3
Ukiutazama kwa haraka haraka unaweza kusema ni mwavuli tu wa kawaida.
phone brella4
Kishikio cha mwavuli kinaingia hapa kwenye mkono mtu wangu.
phone brella5
Ukishauvaa mwavuli wako mkononi , mwavuli utakaa hivi baada ya hapo ni wewe na message tu.
phone brella 8
Mwavuli huu unakuja kwenye rangi tofauti mtu wangu,yani hapo unachagua rangi uipendayo.
phone brella8
P yhaa tv coming soon
































Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE


share
 

































face book ipyana stephen













































































































































Share



















































































































































































































































































































































































































































































































usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





















































































































































































































































































Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment