Goodison Park, Everton ni uwanaja unaotumiwa na klabu ya Everton ya
Uingereza kama uwanja wa nyumbani toka mwaka 1992 una uwezo wa kuingiza
watu 39,572 katika mechi moja.
9.
Craven
Cottage ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya Fulham wameutumia kama uwanja
wa nyumbani kwa nyakati mbili tofauti toka mwaka 2001-2002 na 2004-2014
uwanja una uwezo wa kuchukua watu 25,700.
8.
7.
6.
Highbury uwanja wa zamani wa Arsenal wameutumia toka mwaka 1992-2006 Uwezo wa kubeba mashabiki : 38,419
4.
3.
St James’ Park uwanaja wa nyumbani wa Newcastle United toka mwaka 1993-2009, 2010 hadi sasa Uwezo: 52,405
Emirates Stadium Uwanja wa klabu ya Arsenal kwa mara ya kwanza wameutumia mwaka 2006 hadi sasa Uwezo : 60,432
Old Trafford uwanja wa klabu ya Manchester United toka mwaka 1992 Uwezo: 75,731
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment