Karim Benzema ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria alikuwa ana uhusishwa kuhama katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na kujiunga na klabu ya Arsenal licha ya vilabu vingi kumuhitaji ila Arsenal ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kumsajili Benzema.
Klabu ya Real Madrid imesisitiza kuwa haiwezi kumuachia nyota huyo aondoke, taarifa hizo ilikuwa kabla ya Benzema hajathibitisha kuwa anataka kuondoka au hataki, ila post yake ya twitter aliyopost August 24 ina jibu maswali yote ya Benzema atacheza wapi msimu ujao. Jibu ni rahisi tu atabakia Madrid kwa mujibu wa tweet yake.
P yhaa tv coming soon
Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
face book ipyana stephen
Share
Share
instagram p yhaa tv
instagram p yhaa tv
usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

0 comments:
Post a Comment