Jumba la kifahari la Raheem Sterling analoliuza (Picha 20)



Aliyekuwa winga  mshambuliaji wa klabu ya Liverpool Raheem Sterling ambaye kwa hivi sasa anaitumikia klabu ya Manchester City baada ya kujiunga nayo msimu huu akitokea Liverpool kwa ada ya pound milioni 49.  Ila headlines ni hii hapa ambapo ameamua kuuza nyumba yake ya kifahara iliyopo Southport kwa pound milioni 1.5.
2B7BFEA000000578-3202782-The_four_bedroom_detached_house_is_in_Southport_Merseyside_and_i-a-51_1439992165158
Nyumba ya Sterling ambayo ina kila kitu kama ambavyo huwa nyumba za mastaa wengine wa soka duniani, Sterling anauza nyuma hiyo ikiwa ni siku kadhaa tu toka aingize kiasi kingine cha fedha baada ya kusajiliwa na klabu ya Man City. Nyumba hiyo ina vyumba vinne vya kulala, Saloon, ukumbi wa Cinema wa nyumbani, bwawa la kuogelea, Gym, Bar iliyojengwa kwa kumbukumbu ya Michael Jackson na DJ Deck zikiwa ndani yake.
Hizi ni picha zingine za jumba hilo
2B793B9000000578-3202782-image-a-180_1439934172449


2B7BA57100000578-3202782-image-a-3_1439964872875


2B793B9C00000578-3202782-image-a-179_1439934172448


2B7BA15A00000578-3202782-image-a-12_1439965071878


2B793BC900000578-3202782-image-a-184_1439934172632


2B793B7800000578-3202782-image-a-186_1439934172714


2B793BAE00000578-3202782-image-a-183_1439934172609


2B793C0C00000578-3202782-image-a-172_1439934172439


2B793BDB00000578-3202782-image-a-178_1439934172447


2B793BBB00000578-3202782-image-a-188_1439934172777


2B793C0C00000578-3202782-image-a-172_1439934172439


2B793BF100000578-3202782-image-a-174_1439934172442

2B7BA4DE00000578-3202782-image-a-6_1439964947543

2B7BA63A00000578-3202782-image-a-9_1439965023621

2B793BCD00000578-3202782-image-a-175_1439934172443

2B793BE400000578-3202782-image-a-177_1439934172446

2B793BEC00000578-3202782-image-a-176_1439934172445

2B793C0700000578-3202782-image-a-173_1439934172441

2B793C1400000578-3202782-image-a-187_1439934172729

2B793BF500000578-3202782-image-a-181_1439934172456

2B793BF500000578-3202782-image-a-181_1439934172456 (1)
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 

face book ipyana stephen



  Share



usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment