Juzi
Cristiano Ronaldo alikuwa anakula maisha ziwani na mtoto wake wakati
Real Madrid ikicheza mech ya kirafiki nchini Norway dhidi ya Valerenga.
Ronaldo alipewa mapumziko mwishoni mwa Juma lililopita na hakusafiri kwenda Norway kwasababu ya majeraha madogo aliyopata.
Hata hivyo, atakuwa fiti katika mechi ya mwisho ya kirafiki ya Real Madrid dhidi Galatasaray itayopigwa Agosti 18.
Kitu cha kushangaza, Ronalod hakuangalia mechi ya Madrid, badala yake alikwenda kula bata mtoto wake wa kiume.
0 comments:
Post a Comment