Chris Brown kwenye headlines, apongezwa kwa idadi ya mauzo, single & watazamaji wengi YouTube! (Pichaz)


cb2
Chris Brown ana sababu nyingi za kusherekea weekend hii na starehe zote za dunia, siku ya Alhamisi (tarehe 27 August) staa huyu wa muziki wa R&B Pop alichukuwa time na kupost kwenye page yake ya Instagram tuzo ama pongezi aliyopewa na lebo kubwa ya muziki RCA Records ya Marekani.
cb
Pongezi hiyo iliyotolewa kwake na lebo ya RCA Records ilihusisha vitu 3;  pongezi ya mauzo yake kimuziki za Album miliion 10, pongezi ya mauzo ya single zake zinazozidi milllion 60, pongezi kwa tuzo 14 za BET, pongezi kwa nyimbo 19 zilizoshika #1 na pongezi kwa kuwa miongoni mwa wasanii wadogo duniani wenye watazamaji zaidi ya Billion 3.5 kwenye channel yake ya YouTube!
cb4
Nadhani utakubaliana na mimi kuwa licha ya matatizo na headlines tofauti anazoweka Chris Brown mitandaoni, msanii huyu wa miaka 26 ni miongoni mwa wasanii wadogo wenye ushawishi mkubwa sana duniani na pongezi hii inathibitisha kwa kiasi gani!
Niliweza kuzinasa hizi post mbili kupitia page yake ya Instagram @chrisbrownofficial.
cbreezy
cbreezy2
Big up sana kwa mtu wetu Chris Brown!
P yhaa tv coming soon

Tuwe Pamoja Huku Ilikupata Stori ZOTE
share
 


face book ipyana stephen






  Share


















usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment