Victoria Kimani katuletea hii nyingine - Two of Dem







Moja ya mstaa wa kike wanaofanya vyema katika game ya burudani ni pamoja na Victoria Kimani kutoka Kenya..’Prokoto’ ni moja ya wimbo wake uliovuma sana akiwashirikisha mastaa wa kibongo Diamond pamoja na Ommy Dimpoz.
Leo katuletea video ya wimbo wake mpya ‘Two of Dem’
KIMAN

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment