Manchester United 3 - 1 FC Barcelona | Goals & Highlights | Internationa...


Manchester United ilivyoiadhibu FC Barcelona July 25 (Pichaz&Video)


manchester-united-vs-barcelona-pre-season-friendly-2015


Usiku wa kuamkia July 26 vilabu viwili vikubwa barani Ulaya vilikutana kucheza mchezo wa International Champions Cup, michuano ambayo bado inaendelea katika nchi mbalimbali na sehemu zingine kumalizika…Michuano hii ambayo klabu nyingi hutumia kama sehemu ya maandalizi ya msimu mpya ya Ligi Kuu katika nchi zao, usiku wa July 25 kuamkia July 26 umezikutanisha timu za FC Barcelona ya Hispania dhidi ya Manchester United  ya Uingereza.
481933062


Mchezo huo umepigwa katika Uwanja wa Levi’s Stadium California Marekani hadi dakika 90 zinamalizika Manchester United imeibuka na ushindi wa goli 3-1 magoli yakifungwa na Wayne Rooney dakika ya 8, Jesse Lingard dakika ya 65 na Adnan Januzaj dakika ya 91 huku goli pekee la kufutia machozi kwa FC Barcelona likifungwa na Rafael Rafinha dakika ya 90.
Generated by  IJG JPEG Library


Hii sio mara ya kwanza kwa klabu za FC Barcelona na Manchester United kucheza mechi ya kirafiki kama hiyo ya International Champions Cup 2015, kwani iliwahi kukutana mwaka 2011 na Man United kuibuka mshindi kwa goli 2-1 kabla ya mwaka 2012 kukutana tena na FC Barcelona kushinda kwa mikwaju ya penati.
481971214


481970990


481970956


481970918


Generated by  IJG JPEG Library


481955112


481966094


Manchester United's Wayne Rooney, center, celebrates with teammates after scoring a goal against FC Barcelona during the first half of an International Champions Cup soccer match in Santa Clara, Calif., Saturday, July 25, 2015. (AP Photo/Jeff Chiu)


481971680


481971646


481971272

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment