Ujumbe wa Kanye west kwa mkewe Kim Kardashian na mwanaye North..


family
May 24 couple ya mastaa Kim Kardashian na Kanye West walitimiza mwaka mmoja wa ndoa yao tangu walipofunga mwaka jana huko Italy.
11325150_831777363538645_1636262877_n_gallery_main
Wawili hao walitumia nafasi hiyo kuweka kwenye mitandao picha mbalimbali za harusi yao.
11311890_1635886363313729_1869063837_n_gallery_main
Mbali ya picha hiyo Kanye West leo aliamua kuweka ujumbe mzuri kwenye mtandao wa Twitter ambao ulikua maalum kwa ajili ya mkewe pamoja na mwanaye North West.
11312325_799906616784120_291358984_n_gallery_main
Ujumbe ulisomeka hivi..
kanyeee
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment