Mafuriko yalikumba jimbo la Texas na kusababisha vifo vya watu


 Mafuriko yalikumba jimbo la Texas na kusababisha vifo vya watu 18 Magharibi mwa Marekani na Kaskazini mwa Mexico.
Gavana wa Texas Greg Abbott anasema mafuriko hayo yameleta madhara makubwa katika jimbo lake.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment