Mastaa na maisha yao mtaani, chochote akikifanya staa ni ishu kabisa yani !!
Jamaa mmoja kaongea na Soudy Brown, alichomsogezea anasema ni ishu ya staa wa Bongo Movie, Hemed PHD kuonekana kwenye ugomvi na mtu mwingine ndani ya Club Morogoro.. ina ukweli wowote?
Jamaa anaesimulia amesema ilibidi
mabaunsa waingilie kati kumtoa msanii huyo nje ili kuumaliza ugomvi
ambao chanzo chake hakijafahamika.
Iko hapa, ukiplay untaisikiliza U Heard yote Soudy akiwa na huyo shuhuda wa ugomvi toka Morogoro.
0 comments:
Post a Comment