Kabla ya matokeo ya jana ambayo yameiweka Real Madrid kwenye vichwa vya habari waliweza kufanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya wenzao Atletico Madrid, mashabiki wao walikuwa na furaha ya aina yake na waliweza kujitokeza kwa wingi kuilaki timu yao katika uwanja wa Santiago Bernabeu.
Madrid ndio mabingwa watetezi wa kombe hilo.
0 comments:
Post a Comment