Swali kubwa kwa Irene ni kweli amewahi
kuchepuka? yani kutoka na Mwanaume mwingine wakati huohuo akiwa kwenye
uhusiano na Mwanaume mwingine? jibu ni >>>> ‘Kuchepuka
mbona kawaida tu watu wanachepuka, nilijikuta tu unajua wakati mwingine
upo na mpenzi wako alafu anakuboa mpaka vitu vinafika shingoni, mpaka
unasema aaaaah kwanini na mimi nisifanye?’
Home
SANAA TZ
Irene Uwoya kakubali ni kweli aliwahi kuchepuka… problem je? ilikuaje? majibu yako hapa
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment