Mama
ni mama tu hata kama akiwa mlevi, hakukutunza, hakukulea, kichaa, mhuni
au na kasoro nyingi atabaki kuwa mama yako na kamwe huwezi kulifuta
hilo, maana bila yeye usingekuwepo duniani leo, anastahili pongezi yake
kwa kukuleta duniani.
Neno gani unapenda kumwambia mama yako popote pale alipo?

Neno gani unapenda kumwambia mama yako popote pale alipo?
0 comments:
Post a Comment