
&&&& unakipi kwa diva kwa alicho kisema &&&&
Baada
ya Ile video ya Ali Kiba kuvuja akimla denda Diva
ambaye ni Mtangazaji
wa Clouds Media Group
anayepaza sauti yake kwenye kipindi cha Ala za
Roho
amekuja juu na kudai Ali Kiba Sio type ya mwanaume
anayemuhitaji
0 comments:
Post a Comment