Mchezaji nyota wa zamani wa Liverpool Rigobert Song amepigwa picha kwa mara ya kwanza tangu apatwe na kiharusi wiki tisa zilizopita.
Nguli huyo wa Cameroon, amepigwa picha akiwa amevaa fulana na timu ya chini ya umri wa miaka 21 ya Southport, ameonekana kudhoofika licha ya kutabasamu akiwa amekaa kitandani.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 40, alipoteza fahamu kwa siku mbili mwezi Oktoba baada ya kuugua akiwa Odza Jijini Yaounde, Cameroon.
Rigobert Song akiwa chumba cha wagonjwa mahututi baada ya kupatwa na kiharusi
Rigobert Song akiwa anazungumza na rafiki yake baada ya kupata nafuu hivi sasa
0 comments:
Post a Comment