JOKATI KIDOTI NA FLAVIAN MATATA KIMENUKA VIBAYA,WALIPUANA VIKALI


Bifu la Jokate na Flavian Matata linazidi kukua siku baada ya siku. 
Chanzo ni Jokate kuiba idea ya Flavi ya kutengeneza mabegi ya mgongoni kisha kutangulia sokoni. Sasa imebaki ni vijembe mtindo mmoja kwenye social media. 





Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment