GAUNI LA MTI WA KRISMAS LA MICHELLE OBAMA LAWA KIVUTIO


Mke wa rais wa Marekani, Michelle Obama, amevaa gauni lenye rangi na michoro inayoshabihiana na mti wa Krismas wakati akiwa kwenye hafla ya kutoa heshima kwa watu mashuhuri ya Kituo cha Utamaduni cha Kennedy.

Michele alikuwa ameambatana na mumewe rais Barack Obama, ambapo rais huyo ambaye amekuwa hakosi hafla hiyo alipokelewa vyena baada ya ukumbi mzima kusimama katika kuonyesha kumkubali.
           Rais Barack Obama akimtambulisha mkewe Michelle Obama katika hafla hiyo
                  Watu katika ukumbi mzima wakisimama kuonyesha kumkubali Rais Obama
Nyota Al Pacino, Mavis Staples, James Taylor, Martha Argerich walitambuliwa kwa mchango wao kwa utamaduni. Hapa wakipiga makofi kushukuru.

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment