Sasa baada ya kufika Taasisi ya mifupa Muhimbili ‘MOI’ ameambiwa na madaktari kuwa haiwezekani kutibiwa hospitalini hapo kutokana na vifaa vilivyopo kuwa tofauti na wagonjwa ambao wamewazoea hospitalini hapo, Afisa uhusiano wa Taasisi hiyo, Patrick Mvungi amesema……..
‘sisi hatuna tatizo la vifaa ila changamoto tuliyoikuta ni kuwa mgonjwa huyu ana urefu wa ambao ni tofauti na wagonjwa ambao tumezoea kuwaona hapa MOI pengine hiyo imepelekea vifaa tulivyonavyo visimtoshe yeye’
‘Ni sehemu ya maisha yangu watu kunisahangaa na huwa naifuurahiwa kwa sababu mimi natambaua kwa nini mimi ni mrefu wengine ni wafupi’;-Mgonjwa
0 comments:
Post a Comment