Mchekeshaji kutoka Kenya Erick Omondi ambaye amekuwa na utundu wa kuziigiza na kuzirudia nyimbo za mastaa mbalimbali.
Time hii kairudia ya Desiiggner ‘Panda’ unaweza kuitazama hapa chini, ukishaitazama usiache kutupia comment yako, ni lazima apite kusoma Watanzania wanasemaje.
0 comments:
Post a Comment