
Headlines za bifu yao zimeibuka tena baada ya Tinny kupost picha kwa mara nyingine akiwa na Maria Carey na Floyd Mayweather ambaye mpaka sasa hayuko kwenye mahusiano mazuri na mumewe huku akisema alialikwa na Maria Carey akaona sio mbaya kupiga picha, maelezo ambayo yanatofautiana na video ambayo imesambaa mitandaoni ikimuonyesha Mayweather akicheza muziki na Tinny.
Inasemekana pia T.I ana mpango wa kutoa talaka baada ya video hiyo kusambaa mitandaoni kitu ambacho baadhi ya mashabiki wanasema T.I atakuwa hajafanya kitu cha busara kumuacha mkewe kisa amecheza muziki na Mayweather labda kama ana sababu nyingine.
0 comments:
Post a Comment