Imedropishwa muda mchache uliyopita kutoka WCB Wasafi, ni Rich Mavoko akiwa na C.E.O wa lebo hiyo Diamond Platnumz kwenye hii mpya ambayo wameipa jina la Kokoro.Ni mikono ya maproducer Laizer Classic pamoja na
Abydad ndiyo ambayo imetumika katika ukamilishaji wa ngoma hii chini ya studio za Wasafi Records. Enjoy
Abydad ndiyo ambayo imetumika katika ukamilishaji wa ngoma hii chini ya studio za Wasafi Records. Enjoy
0 comments:
Post a Comment