Rais Barack Obama akicheza na mtoto wa mmoja wa watumishi wa Ikulu
Rais Barack Obama akiwasalimia watoto katika kituo cha uangalizi wa watoto kilichopo karibu na shule la binti yake Shasha Rais Barack Obama akimfanyia mzaha wa kumuongezea uzito mmoja wa watumishi wa Ikulu aliyekuwa anapima uzito Rais Barack Obama akipiga picha na mtoto aliyelala katika mlo wa usiku ya siku ya kinababa Rais Barack Obama akipimwa afya na mtoto, hii alikuwa ametembelea shule moja na kumkuta mtoto huyo na kifaa hicho toi cha udaktari Rais Barack Obama akicheza na mtoto aliyevalia nguo ya tembo katika siku ya Halloween Oct 30, 2015.

0 comments:
Post a Comment