Mwana FA Aleta Msiba Mkubwa Kwa Kina Dada wa Mjini Kwa Huu Wimbo Wake Mpya...Dume Suruali ft. Vanessa Mdee Unknown 2:33:00 AM burudani Edit Leo Mwana Fa ameachia ngoma yake ambayo ni mwiba mchungu kwa kina dada wa mjini wanaopenda na kuishi kwa kuombaomba. Ngoma inaitwa Dume Suruali.Nihonge nanunua nini? Kwa nini yani? Kwa kipi nsichokijua ina TV ndani?Asante FA kwa hii fimbo ya kufungia mwaka haswa kipindi hiki cha Magufuli #TeamDumeSurualiDume Suruali ft. Vanessa Mdee - Mwana FAUsikilize Hapa chini: Share Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Share About Unknown Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774 RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment