Maandamano yameendelea kwa usiku wa pili katika miji kadhaa nchini Marekani baada matokeo ya uchaguzi uliompa ushindi wa urais Donald Trump.
Maandamano hayo ya makundi ya watu wachache wengi wao wakiwa ni vijana wanasema utawala wa Trump utaleta mgawanyiko mkubwa wa kibaguzi na kijinsia.
Mmoja wa waandamanaji akikimbia na bendera ya Marekani aliyoichoma moto
Waandamanaji wakivunja vioo vya duka katika kutoa hasira zao
Mwandamanaji mwanamke akiwekwa chini ya ulinzi na polisi
Hasira za waandamanaji wasioamtaka Trump pia zilielekezwa kwenye magari
0 comments:
Post a Comment