Messi na wachezaji wenzake wa timu ya taifa wameamua kutoongea katika vyombo vya habari kufuatia kukosewa heshima kwa muda mrefu, hususani hawakufurahishwa zaidi na Ezequiel Lavezzi kuandikwa kuwa ameachwa kwa katika kikosi cha Argentina kwa kukutwa akivuta bangi.
“Najua kuna watu wengi sana wamekuwa wakitukosea heshima kwa kuongea maneno mengi lakini tumekuwa hatuongei kitu, kuingilia maisha binafsi ya mtu ni vibaya sana, tuhuma za Lavezzi kama hatutoongea kitu wengi wataamini kuwa ni kweli”
0 comments:
Post a Comment