Ni mkali wa kuchana RapperYoung Dee ameifanyia cover single ya Saut Sol‘kuliko jana‘ akiwa na producer ambaye pia ni msanii na mmiliki wa studio za Aunthetic Records Maxmillian, cover hii imefanywa kwa vionjo vya accapela.
Nameiweka hapa single hiyo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play.
0 comments:
Post a Comment