HONGERA Rais Magufuli kwa Kutupunguzia Mabishoo Mtaani Unknown 8:50:00 PM burudani Edit Usawa huu wa mh magu nmeupenda sana, mabishoo wamepungua kwa kasi sana waliobaki ni vichwa ngumu kweli kwao somo la nyakati walishafeli totally.Ama kweli mia tano tutaacha kuiita jero, book tutairudishia utukufu wake wa kufahamika kama sh.elf moja.HAPA MSOTO TU. Share Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus Share About Unknown Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774 RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment