Wakazi wa Florida watahadharishwa kujiandaa kukumbwa moja kwa moja na kimbunga Matthew, wakati huu ambapo kimefika Bahamas, baada ya kusababisha maafa Haiti.
Gavana wa Florida amesema kuwa kimbunga hicho kitasababisha uharibifu mkubwa, na tayari amri ya kuwataka watu wanaokaa maeneo ya pwani kuhama imetolewa.
Watu wakiziba kwa hardboard maeneo ya madirisha na milango ili kudhibiti kimbunga Matthew ambacho kinaambatana na mvua ya upepo mkali
0 comments:
Post a Comment