Eric Omondi raia wa Kenya ambaye ni moja kati ya watu waliobarikiwa vipaji vingi ikiwemo uwezo binafsi wa kuchekesha kupitia maneno na mwili wake pia, leo katusogezea mambo muhimu ambayo unapaswa kuyazingatia kama unatamani kuwa kama Saut Sol.
Unaweza kumtazama Omondikwenye hii video hapa chini…
0 comments:
Post a Comment