Rais wa Marekani Barack Obama ametaja wasanii watano wa HIPHOP anaowakubali zaidi kwa sasa Nchini Marekani.

Kupitia kipindi cha Sway In The Morning, amewataja Jay Z, Chance The Rapper, Kendrick Lamar, Drake na Kanye West.
Obama pia amesema alimjua Chance The Rapper akiwa na miaka nane tu na kwamba bado Jay Z ni Mfalme wa Hiphop.
chance-the-rapper-on-gma-aug-2016-billboard-1548
Chance The Rapper
drake-episode-1200x630
Drake
Rapper Jay-Z leaves after an NBA basketball game between the Brooklyn Nets and the Houston Rockets Monday, Jan. 12, 2015, in New York. Houston beat Brooklyn 113-99. (AP Photo/Jason DeCrow)
Jay-Z
kanye-chain
Kanye West
kendrick-lamar-bw-march-2016-billboard-650