SAFARI YA WEMA SEPETU NA WOLPER UCHINA SASA HIVI YALETA MTAFARUKU HEBU SOMA HAPA LIVE!!

1476722941026.png

Kwenye Instagram zao mastaa hao wamepost waki safiri toka dar siku moja na wote wamepost picha wakiwa dubai same day then wote wamepost wakiwa china same place ila hawajapig picha pamoja.. Ambapo mdogo wa GSM counselor Salaah amepost akiwa Canton fair na wema na wolper wakipost wakiwa canton railway station same area ila wamekuwa makin kutopiga picha pamoja au labda hawafahamiani. Au labda ma baby wao idriss na harmonize ndo wamegharamia safari yao ya china.. Au labda yule MCM aliyempost kawasponsor.

1476722952174.png1476722962184.png1476722981144.png1476722994054.png1476723014824.png1476723036244.png
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment