RAPA KING KAKA WA KENYA AKAMATWA NA ASKARI WA USALAMA JIJINI NAIROBI


PicsArt_10-18-03.43.14
Rapa maarufu kutoka nchini Kenya, King Kaka amekamatwa na askari wa usalama mapema  jijini Nairobi.Kwa mujibu wa shahidi amesema kuwa rapa huyo alishuka kwenye gari lake nakisha kukamatwa na afisa usalama waliomtia pingu bila kujulikana ninini kisa cha yeye kupigwa pingu nakuwa chini ya ulinzi.
PicsArt_10-18-03.42.19
PicsArt_10-18-03.41.34
PicsArt_10-18-03.40.40
PicsArt_10-18-03.39.06

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment