Katka hali isiyotegemewa na watu wengi, hifadhi moja nchini China imejenga choo cha kioo kwa ajili ya watu mbalimbali ambao wanatembelea eneo hilo.
Hifadhi hiyo inayojulikana kwa jina la Shiyan Lake Ecology Park imefanya ubunifu wa aina hiyo ili kuvutia watu wengi zaidi kutembelea eneo hilo na baadae kupata pesa pesa nyingi kutokana na wageni hao.
Mwonekano wa choo hicho niwa kioo na kama mtu akiwa anajisaidia ndani, mtu aliye nje ya choo anaweza kumwona lakini sio kwa mwonekano wa moja kwa moja kwani vioo vilivyotumika havionyeshi kitu kilicho upande wa pili lakini kwa uhalisia sahihi.
MO Blog imekuwekea picha uweze kuona mwonekano wa choo hicho;
0 comments:
Post a Comment