Akothee amepokelewa kwa furaha kwao Nairobi, mapokeizi ambayo yaliongozwa na baba na mama yake, kama utakuwa unakumba Akothee alitangazwa mshindi wa tuzo ya AFRIMMA ya msanii bora wa kike wa Afrika Mashariki October 15 2016 Dallas Texas Marekani.
Muimbaji huyo alishinda pia tuzo ya msanii bora wa kike 2016 katika tuzo za African Entertainment Awards USA (AEAUSA).
0 comments:
Post a Comment