Bila shaka utakuwa ulikukutana na video iliyosambaa sana mitandaoni ikimuonesha mrembo mmoja akiumbuka baada ya nguo yake kuchanika na kumwacha mtupu wakati kipindi kikiwa hewani kwenye Tv.
Mrembo huyo anaitwa, Lateysha Grace ni mtangazaji wa Tv na pia alikuwa mshiriki wa Big Brother UK mwaka huu ameamua kufanya surgery kwa mara ya tatu ili kuongeza makalio baada ya tukio la aibu kumkuta akiwa hewani.
Imeripotiwa kuwa mrembo huyo ametumia zaidi ya £4,000 kufanikisha zoezi hilo huku akidai kuwa hatoacha kufanya surgery hadi atakapolizika, huku bado akiwa na plan ya kufanya surgey nyingine kwenye mwili wake.
D
0 comments:
Post a Comment