Ni msanii wa Bongo Fleva, Lina Sanga ambae October 28, 2016 amechukua headlines mitandaoni baada ya kumpost rasmi mpenzi wake mpya.
Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya
Staa huyo kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram aliyaandika haya
"Penzi si kama nyanya itokayo sokoni, nipe penzi ❤️mwanana niliote ndotoni 😂😂😂 i love u cheusi wangu, Mara moja moja, Raha jipe mwenyewe"
0 comments:
Post a Comment