Kupitia Twitter page yake Mstaafu JK ameandika >>> ‘Nasikitishwa sana na matumizi mabaya ya picha zangu mtandaoni hususan watu kunilisha maneno kwa kutaka kutimiza malengo yao ya kisiasa‘
‘Nimestaafu naomba niachwe nipumzike nisingependa kuhusishwa na siasa za mtandaoni dhidi ya serikali… namuunga mkono Rais na Serikali yake‘ – Jakaya Kikwete.
0 comments:
Post a Comment